Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi amesema Kenya inaimarisha ushirikiano wake na Umoja wa Mataifa, UN na washirika wengine ili kuhakikisha uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 utakuwa na uwazi, wa kuaminika,…