Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Biashara katika mji wa Murungaru, ulioko eneo la Kinangop katika Kaunti ya Nyandarua, zimeathirika pakubwa baada ya kukatika kwa umeme kwa muda wa siku tatu mfululizo. Transfoma inayosambaza umeme katika…