Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Idara ya mahakama imeazimia kuanzisha "sera ya kesi kutoahirishwa" ili kuepukana na ucheleweshaji wa kusikilizwa na kuamuliwa kwa kesi. Idara hiyo siku zilizopita imelaumiwa kwa kukawia kusikiliza na kuamua baadhi…