Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kaunti ya Baringo imeelezea dhamira ya kuimarisha vita dhidi ya ufisadi kufuatia kuzinduliwa kwa Kamati ya Kuzuia Ufisadi ya Kaunti hiyo (CPC). Uzinduzi huo uliofanyika katika makao makuu ya kaunti…