Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Ofisi ya Mkuu wa Mashtaka ya Umma inanuia kutumia mashahidi 202 katika kesi ya sakata ya shilingi bilioni 1.1, pesa zilizokusudiwa kufadhili masomo ya wanafunzi kutoka kaunti ya Uasin Gishu…