Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Watu kadhaa wamejeruhiwa kwenye maandamano katika baadhi ya miji ya Tanzania huku shughuli ya upigaji kura ikiendelea katika uchaguzi mkuu ambao umekumbwa na mvutano. Waandamanaji waliwasha moto barabarani, kuharibu mabasi,…