Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Chama cha upinzani, ACT-Wazalendo, kimepinga matokeo ya uchagauzi wa urais visiwani Zanzibar baada ya Tume ya uchaguzi kumtangaza Hussein Mwinyi kama mshindi. "Wananchi wa wameibiwa sauti yao... Suluhu pekee ya…