Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mahakama Kuu ya Eldoret imemhukumu afisa wa zamani wa polisi miaka 30 gerezani, baada ya kumpata na hatia ya kumuua mke wake. Bernard Ndege ambaye alikuwa na cheo cha konstabo,…