Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Naibu Rais Prof. Kithure Kindiki ameahidi kutekeleza majukumu yake ipasavyo kisheria baada ya kuteuliwa kuwa msaidizi wa Rais William Ruto. Akihutubu punde baada ya kula kiapo, Prof. Kindiki amemshukuru Rais…