Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mwanariadha wa Marathon Rebecca Cheptegei aliyeuawa kinyama na mpeinziwe katika kaunti ya Trans-Nzoia, amezikwa kijeshi Jumamosi kijijini Kapsiywo wilaya ya Bukwo mashariki mwa Uganda. Mazishi hayo yaliongozwa na wanajeshi huku…