Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kenya imejitolea kuimarisha uhusiano wake na Muungano wa Milki za Kiarabu (UAE), ili kuboresha biashara, uwekezaji na makubaliano ya ushirikiano wa kiuchumi (CEPA). Aidha uhusiano huo unakusudiwa kufanikisha upatikanaji wa…