Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Tume ya maadili na kukabiliana na ufisadi nchini (EACC), imetoa arifa kwa taasisi zote za serikali ya kitaifa na zile za kaunti, kusimamisha malipo kwa wafanyakazi wote wanaojiuzulu kutoka huduma…