Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa usalama wa taifa Kithure Kindiki amesema kwamba usalama unaendelea kuimarika katika kaunti ya Turkana, kufuatia kuanzishwa kwa oparesheni ya "Maliza Uhalifu" mwaka mmoja uliopita. Kindiki anasema kwamba mpango…