Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA nchini Tanzania kimesema kwamba mwenyekiti wake Tundu Lissu yuko tayari kabisa kwa shughuli ya kusikilizwa kwa kesi inayomkabili ya uhaini. Haya yanajiri wakati ambapo…