Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi katika Shirika la Utangazaji hapa Nchini (KBC) Tom Mshindi, ametuma risala za rambirambi kwa familia na marafiki wa mtangazaji mkongwe Leonard Mambo Mbotela, aliyefariki siku…