Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Viongozi wa wanafunzi kutoka vyuo vikuu mbalimbali vilivyo Kaunti ya Bungoma wamefanya kikao maalum na Mbunge wa Westlands, Mheshimiwa Tim Wanyonyi, kwa lengo la kujadili masuala yanayowakumba vijana katika taasisi…