Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), wamemkamata mwanablogu kwa madai ya kuchapisha habari za kupotosha kwenye ukurasa wake wa TikTok. Kupitia kwenye ukurasa wake wa X, DCI ilisema…