Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa polisi wamewakamata washukiwa watano wanaoaminika kuhusika na visa vya wizi wa kimabavu kwenye barabara kuu ya Thika- Nyeri na Thika - Embu. Washukiwa hao walikamatwa baada ya msako…