Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Bunge la Seneti nchini limefafanua kuhusu yaliyomo kwenye mswada wa marekebisho ya katiba wa mwaka 2025. Kupitia akaunti rasmi ya mtandao wa X, bunge hilo limeelezea yaliyomo kwenye mswada huo…