Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Naibu Rais Kithure Kindiki amesisitiza tena dhamira ya serikali kuhakikisha maendeleo ya haki na usawa kote nchini Kenya, akipuuza siasa za mgawanyiko na ukabila kama kikwazo kwa umoja wa kitaifa…