Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Watu wawili wamefariki kufuatia ajali ya barabarani, iliyotokea katika daraja hatari la Nithi, kaunti ya Tharaka Nithi. Akithibitisha ajali hiyo, Kamanda wa Polisi kaunti ya Tharaka Nithi Zacheus Ng'eno, alisema…