Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mkewe waziri mwenye mamlaka makuu Tessie Mudavadi, ametoa wito kwa vijana hapa nchini kutumia ipasavyo majukwaa ya mitandao kufanya shughuli za kibiashara, kubuni nafasi za kazi na uzalishaji wa mali…