Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kenya na China zimekubaliana kuimarisha na kupanua ushirikiano katika sayansi, utafiti, uvumbuzi na teknolojia ili kuchochea mabadiliko ya kijamii na kiuchumi katika nchi hizo mbili. Waziri wa Elimu Julius Migos…