Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
City Stars wamemaliza nafasi ya mwisho kwa alama 35 baada ya kutoka sare tasa na Mathare United, huku Talanta ikipigwa goli moja kwa bila na Murang'a Seal walionusurika.