Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kenya imedhamiria kuongoza jitihada za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi duniani. Hakikisho hilo limetolewa na Rais William Ruto wakati akiongoza taifa hilo kuadhimisha miaka 60 tangu lilipojinyakulia uhuru. Rais…