Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Uhispania wamefuzu kwa fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza baada ya kuwashinda Uswidi mabao 2-1 katika nusu fainali iliyochezwa leo Jumanne uwanjani Eden Park nchini Australia. Salma…