Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto amesema Kenya imejitolea kuboresha na kupanua uhusiano wake na Marekani. Akizungumza leo Ijumaa alipokutana na kaimu Balozi wa Marekani hapa nchini Susan Burns katika Ikulu ya Nairobi,…