Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto amerejea nchini kutoka mataifa ya Italia na Uswizi ambako alihudhuria mkutano wa mataifa 7 yenye ustawi mkubwa kiviwanda duniani, G7 na kongamano la amani nchini Ukraine mtawalia.…