Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Shirika la kimataifa la Kiislamu lisilokuwa serikali limeripotiwa kulipa shilingi milioni 129 kwa lengo la kumwokoa Mkenya Stephen Munyakho almaarufu "Stevo" aliyehukumiwa kifo nchini Saudi Arabia. Hii ni kufuatia ombi…