Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Klabu ya Soka ya Simba SC kutoka Tanzania imewasili Afrika Kusini kwa ajili ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF dhidi ya wenyeji Stellenbosch FC. Mchuano huo utafanyika…