Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto ameangazia tena ongezeko la kutisha la mauaji ya wanawake humu nchini hali anayotaja kuwa ya kusikitisha na isiyokubalika. Huku akitambua hofu na maumivu wanayopitia wanawake wengi nchini,…