Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Timu ya taifa ya Nigeria imepata pigo baada ya kiungo wake mkabaji Wilfred Ndidi kupata jeraha siku chache kabla ya michuano hiyo kuanza. Ndidi alikuwa amejumuishwa katika kikosi cha Jose…