Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mabingwa wa Olimpiki Emmanuel Wanyonyi, na Beatrice Chebet, walitawazwa wanaspoti bora wa mwaka uliopita katika makala ya 21 ya tuzo za SOYA jana usiku katika ukumbi wa KICC, kaunti ya…