Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri Mkuu wa Slovakia Robert Fico hayuko hatarini kiafya, baada ya kupigwa risasi mara kadhaa Jumatano jioni. Awali Waziri wa Ulinzi alitoa ripoti kuashiria kuwa hali ya Waziri Mkuu huyo…