Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Bingwa mara tatu wa Olimpiki katika mbio za mita 1,500 ambaye pia ni mshikilizi wa rekodi ya dunia katika mbio hizo Faith Kipyegon, atakutana kwa mara ya kwanza na mshikilizi…