Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mawaziri wanne katika Baraza la Mawaziri lililovunjwa inaonekana wametemwa. Hii ni baada ya nyadhifa zao kukabidhiwa watu wengine na wao kutoteuliwa katika wadhifa wowote ule. Wao ni pamoja na aliyekuwa…