Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa Usalama wa Kitaifa Kithure kindiki amewaonya vikali wanaochochea ghasia katika kaunti ya Nyamira, akisema wanadumaza maendeleo na wanasababisha kupotea kwa maisha. Waziri huyo aliwalaumu baadhi ya wanasiasa kwa…