Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa uokoaji nchini Sierra Leone wanaendelea na shughuli ya kuwatafuta manusura zaidi baada ya jengo la ghorofa saba kuporomoka katika mji mkuu Freetown na kusababisha vifo vya takriban watu…