Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Baada ya maeneo yote manane kuandaa mashindano ya muhula wa kwanza baina ya shule za upili, hatimaye shule tofauti zimejikatia tiketi ya kuyawakilisha kwenye kindumbwendumbwe cha kitaifa kitakachoandaliwa katika chuo…