Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mahakama ya Rufaa imeondoa agizo lililozuia utekelezaji wa Sheria ya Fedha ya Mwaka 2023. Agizo hilo lilikuwa limewekwa na Mahakama Kuu. Hata hivyo, Mahakama ya Rufaa katika uamuzi wake ilisema…