Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wakenya John Korir na Sharon Lokedi,ndio mabingwa wa makala 129, ya mbio za Boston Marathon zilizoandaliwa leo jioni nchini Marekani. Lokedi ametwaa ubingwa wa kwanza wa mbio kuu, akiweka rekodi…