Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Shakahola Paul Nthenge Mackenzie amesusia kikao cha mahakama kuhusiana na kesi inayomkabili na wenzake 94. Kesi hiyo ya mauaji ambayo ilitarajiwa kusikilizwa leo Jumatano ilikuwa…