Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Bweni moja limeteketea katika shule ya upili ya wavulana ya Shanderema katika eneo bunge la Shinyalu, kaunti ya Kakamega. Kisa hicho kiliwalazimu wanafunzi zaidi ya 70 kustahimili makali ya baridi…