Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kenya imeungana na mataifa mengine ya ulimwengu kulaani shambulizi la bomu la Israel nchini Qatar lililosababisha maafa na uharibifu wa mali. Sshambulizi hilo la juzi Jumanne jijini Doha lilisababisha vifo…