Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Shughuli za Upanuzi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Naivasha hadi Kampala, Rwanda hadi katika mpaka wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, zitaanza mapema mwaka ujao. Rais William Ruto amesema…