Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Chama cha Walimu wa shule za sekondari na vyuo KUPPET kimekataa kata kata ofa ya Waziri wa Elimu Julius Ogamba, kuwaajiri walimu wanagenzi kwa kandarasi ya kudumu kupitia usaili. KUPPET…