Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Katibu Mkuu wa Chama cha Wauguzi nchini, KNUN Seth Panyako yuko huru kugombea ubunge katika eneo bunge la Malava katika uchaguzi mdogo utakaondaliwa katika maeneo 24 nchini Novemba 27. Hii…