Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto amebainisha kuwa muungano unaotawala wa Kenya Kwanza haujaunda serikali ya muungano na chama cha ODM. Badala yake, Ruto amesema pande hizo mbili zimekubaliana kuliunganisha taifa na kuwahudumia…