Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kinara wa Mawaziri ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje Musalia Mudavadi amesema kila Mkenya hivi karibuni ataifahamu sera ya kigeni ya nchi hii. Ameitaja sera hiyo ambayo kwa…