Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Seneta wa kaunti ya Kiambu Karungo wa Thang’wa amewasilisha katika bunge la Seneti stakabadhi ya kumbukumbu inayopinga mpango wa kuongeza muhula wa viongozi waliochaguliwa. Thang'wa badala yake anapendekeza marekebisho katika…